Ennedi Mashariki

(Elekezwa kutoka Ennedi-Est (mkoa))

Ennedi Mashariki (Kiarabu: إنيدي الشرقية) ni moja ya mikoa 23 ya Chad.

Mji mkuu wake ni Am-Djarass.

Gavana wa mkoa kwa sasa ni General Hassan Djorobo.[1]

Wilaya

hariri

Mkoa wa Ennedi Est umegawanyika katika wilaya mbili (departments):

Wilaya Mji mkuu Kata
Am-Djarass Am-Djarass Am-Djarass, Bao, Djouna, Kaoura
Wadi-Hawar Wadi-Hawar Bahaï, Birdouani

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Site Officiel du Ministère du Commerce et l'Industrie du Tchad |". web.archive.org. 2015-09-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-12. Iliwekwa mnamo 2024-11-14.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.