Ensenada (jina rasmi: Ensenada De Todos Santos) ni mji mkubwa katika jimbo la Baja California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 460,075 wanaoishi katika mji huu.

Sehemu za Mji wa Ensenada



Jiji la Ensenada
Nchi Mexiko
Jimbo Baja California
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 460,075
Tovuti:  www.ensenada.gob.mx

Uzalishaji wa divai katika Ensenada ni muhimu sana.

Mji ulianzishwa mwaka 1882.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ensenada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.