Enter the Dragon
filamu ya Robert Clouse mwaka 1973
Enter the Dragon (《龍爭虎鬥》) pia inajulikana kama. The Deadly Three, filamu halisi ilkuwa inaitwa Blood and Steel, ni filamu ya mwaka 1973 iliotolewa na kusambazwa na Warner Brothers martial arts film.
Enter the Dragon | |
---|---|
| |
Imeongozwa na | Robert Clouse |
Imetungwa na | Michael Allin |
Imetaarishwa na | Fred Weintraub Paul Heller |
Nyota | Bruce Lee John Saxon Ahna Capri Shih Kien Robert Wall Angela Mao Betty Chung Geoffrey Weeks Peter Archer Jim Kelly Bolo Yeung |
Muziki na | Lalo Schifrin |
Imesambazwa na | Warner Brothers |
Muda wake | Dk. 98 |
Imetolewa tar. | 26 Julai 1973 |
Nchi | Hong Kong na Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Filamu ilichezwa na Bruce Lee, John Saxon na Jim Kelly. Ni filamu ya mwisho ya Bruce Lee kuonekana kabla ya kifo chake. Alikufa siku sita kabla filamu kutolewa.
Washriki
hariri- Bruce Lee
- John Saxon
- Shih Kien
- Ahna Capri
- Angela Mao
- Jim Kelly
- Robert Wall
- Bolo Yeung
- Betty Chung
- Geoffrey Weeks
- Peter Archer
- Ho Lee Yan
- Marlene Clark
- Allan Kent
- William Keller
- Mickey Caruso
- Pat E. Johnson
- Darnell Garcia
- Mike Bissell
- Jackie Chan
- Roy Chiao
- Paul M. Heller
- Sammo Hung
- Lam Ching Ying
- Tony Liu
- Keye Luke
- Chuck Norris
- Hidy Ochiai
- Steve Sanders
- Wei Tung
- Donnie Williams
- Tadashi Yamashita
- Yuen Biao
- Yuen Wah
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Enter the Dragon kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |