Enya (amezaliwa tar. 16 Mei 1961 mjini Gweedore, Donegal) ni mwanamuziki wa Pop na mwigizaji kutoka nchini Éire.

Enya
Faili:Enyasweet.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Eithne Patricia Ní Bhraonáin
Amezaliwa 16 Mei 1961 (1961-05-16) (umri 62)
Gaoth Dobhair, Wilaya ya Donegal
Éire
Aina ya muziki New Age
Kazi yake Mwimbaji, , mtunzi wa nyimbo, mpiga piano
Ala sauti, piano
Aina ya sauti Mezzo-soprano
Miaka ya kazi 1987–mpaka sasa
Studio Warner Music
Ame/Wameshirikiana na Clannad
Tovuti www.enya.com
Enya mnamo 2022
Enya mnamo 2022

Albamu alizotoa hariri

Enya ametoa albamu 7. Albamu hizo ni kama ifuatavyo:

  1. Watermark (1988)
  2. Shepherd Moons (1991)
  3. The Celts (1993)
  4. The Memory of Trees (1995)
  5. A Day Without Rain (2000)
  6. Amarantine (2005)
  7. And Winter Came... (2008).

Tovuti zake zilizo rasmi hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.