Uwanja wa kimataifa wa Enyimba
Uwanja wa mpira
(Elekezwa kutoka Enyimba International Stadium)
Uwanja wa Kimataifa wa Enyimba ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali. unapatikana huko Aba nchini Nigeria.
Hivi sasa uwanja huu hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu nchini humo. Unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Enyimba F.C.. Uwanja huu una uwezo wa kuingiza takribani watu 16,000 baada ya ufungaji wa viti. Mnamo 3 Novemba 2008 uwanja huo ulipigwa marufuku ya muda baada ya umati wa watu kuwashambulia waamuzi baada ya kutoa suluhu ya mabao ya 1-1 na wapinzani Heartland F.C..
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa kimataifa wa Enyimba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |