Equatoria ya Kati

(Elekezwa kutoka Equatoria ya Kati, Sudan)

Equatoria ya Kati ilikuwa jimbo la kusini mwa Sudan ambalo lilitwa "Bahr al Jabal" hadi mwaka 2006.

Ramani ya Equatoria ya Kati.

Kwa sasa ni jimbo la Sudan Kusini.

Mji mkuu ni Juba.