Erardo Mskoti (pia Erardo wa Regensburg; aliishi katika karne ya 7) alikuwa askofu wa mji huo wa Ujerumani.

Erardo Mskoti

Nchi Ireland
Kazi yake Askofu

Kama Wakristo Waselti wengine wengi, kutoka visiwa vya Britania alihamia Ulaya bara ili kuinjilisha na kueneza umonaki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • (Kiitalia) Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.