Erasto Nyoni

Mwanasoka wa Tanzania

Erasto Edward Nyoni, (alizaliwa 7 Mei 1988, jijini Dar es Salaam, ni mchezaji wa soka (Mpira wa miguu) ni raia wa Tanzania, anayecheza eneo la kiungo mkabaji katika klabu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars). Afya yake ya akili ni timamu na anauwezo wa kipekee katika ufungaji wa magoli.

Erasto Nyoni
Maelezo binafsi
tarehe ya kuzaliwa7 Mei 1988 (1988-05-07) (umri 35)
mahali pa kuzaliwaDar es Salaam, Tanzania
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
Rolling Stone
A.F.C Arusha
2009Vital'O
2010-Azam FC
Timu ya Taifa ya Kandanda
Tanzania9(1)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals).

Kazi katika ngazi ya timu ya taifa hariri

Nyoni ni miongoni mwa wachezaji wanayoitumikia timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika michezo ya kimataifa.

Magoli katika michezo ya kimataifa hariri

Alama na matokeo yanaorodhesha magoli aliyoifungia Tanzania.[1]
No. Tarehe Uwanja Mpinzani Alama Matokeo Mashindano
1. 16 Juni 2007 Stade du 4 Août, Ouagadougou, Burkina Faso   Burkina Faso 1–0 1–0 2008 Africa Cup of Nations qualification
2. 10 Juni 2012 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania Kigezo:Country data GAM 2–1 2–1 2014 FIFA World Cup qualification
3. 15 Agosti 2012 Molepolole Stadium, Molepolole, Botswana Kigezo:Country data BOT 1–0 3–3 Friendly
4. 5 Julai 2017 Moruleng Stadium, Moruleng, South Africa   Zambia 1–0 2–4 2017 COSAFA Cup
5. 24 Machi 2019 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania   Uganda 2–0 3–0 2019 Africa Cup of Nations qualification

Marejeo hariri

  1. "Nyoni, Erasto". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 9 January 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viunga vya nje hariri

Kigezo:Kikosi cha Tanzania AFCON 2019