Eric Bach
Eric Bach ni mtaalamu wa kompyuta aliyetoa mchango kwenye nadharia ya mahesabu ya namba.
Alimaliza elimu yake ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Michigan, Ann Arbor, na alipata Ph.D yake kwenye sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Kalifornia, Berkeley, mwaka 1984 chini ya usimamizi wa Manuel Blum[1]. Kwa sasa ni profesa kwenye kitengo cha sayansi ya kompyuta Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison[2].
Marejeo
hariri- ↑ "Manuel Blum". www.cs.cmu.edu. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.
- ↑ https://pages.cs.wisc.edu/~bach/bach.html