'

Eric Betzig
Faili:ErEric Betzigic Betzig.jpg
Amezaliwa13 Januari, 1960
Kazi yakemwanakemia kutoka nchi ya Marekani


Robert Eric Betzig (amezaliwa 13 Januari, 1960) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya hadubini. Mwaka wa 2014, pamoja na Stefan Hell na William Moerner, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Betzig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.