Eric Njuguna
Mwanaharakati wa hali ya hewa wa vijana kutoka Kenya
Eric Damien Njuguna (alizaliwa mnamo 2003) ni mwanaharakati wa mambo ya hali ya hewa kutoka Kenya. [1] [2] [3] [4] [5]
Eric Damien Njuguna | |
Amezaliwa | 2003 Kenya |
---|---|
Nchi | kenyan |
Kazi maarufu | Uharakati |
Njuguna alianza harakati zake za mambo ya hali ya hewa mnamo 2017 baada ya ukame mkubwa Nairobi kuathiri usambazaji wa maji katika shule yao, [6] kwa kushirikiana na kundi la Zero Hour na kisha Fridays for Future Kenya. [7] [8] [9] [10]
Marejeo
hariri- ↑ Ngcuka, Onke (2022-03-02). "UN ENVIRONMENT ASSEMBLY 5.2: UN official blames greed and politics for damage to environment, encourages youth to use their anger to make a difference". Daily Maverick (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
- ↑ Rulli, Maggie (2022-11-05). "Here's what young COP26 attendees have to say to world leaders about climate change". ABC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16."One billion children at 'extremely high risk' of the impacts of the climate crisis - UNICEF". www.unicef.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
- ↑ https://atmos.earth/global-climate-strike-youth-reparations/ iliangaliwa mnamo 23.01.2023
- ↑ https://www.africanews.com/2021/11/03/young-climate-activists-meet-with-un-chief-antonio-guterres/ iliangaliwa mnamo 23.01.2023
- ↑ Manishka (2021-10-18). "SWA's 2021 Focus on Climate Action". Sanitation and Water for All (SWA) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
- ↑ Syres redaktion (2020-09-23). "Torka väckte Erics klimatkamp - skolstrejkar för planeten på fredag". Syre (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2023-01-25.
- ↑ "One billion children at 'extremely high risk' of the impacts of the climate crisis - UNICEF". www.unicef.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
- ↑ Funes, Yessenia (2022-03-28). "Striking for Reparations". Atmos (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
- ↑ AfricaNews (2021-11-03CET10:09:01+01:00). "Young climate activists meet with UN chief Antonio Guterres". Africanews (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-25.
{{cite web}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ "Teenage Climate Activists Share Their Plans For The Planet In 2021". mindbodygreen (kwa Kiingereza). 2021-01-06. Iliwekwa mnamo 2023-01-25.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |