Ernst Otto Fischer

Ernst Otto Fischer (10 Novemba 191823 Julai 2007) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza misombo ya metali na kaboni. Mwaka wa 1973, pamoja na Geoffrey Wilkinson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Muhuri wa Ernst Otto Fischer huko Ujerumani
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernst Otto Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.