Esta TerBlanche

Muigizaji wa Afrika Kusini

Esta TerBlanche (alizaliwa mnamo 7 Januari 1973) ni muigizaji wa kike nchini Afrika Kusini, anajulikana sana kwa kazi zake kwenye runinga kwote Afrika Kusini na Marekani.

Esta TerBlanche
Amezaliwa 7 Januari 1973
Rusternburg Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Esta TerBlanche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Viungo vya nje hariri