Eufemia wa Kalsedonia

Eufemia wa Kalsedonia (alifariki Kalsedonia, leo nchini Uturuki, 303[1]) alikuwa bikira aliyefia dini ya Ukristo kupitia mateso mengi makali aliyoyavumilia kwa ajili ya Kristo chini ya kaisari Dioklesyano na liwali Prisko [2][3].

Kifodini cha Mt. Eufemia, Rovinj, Korasya.

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Septemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Castelli, Elizabeth A. (Julai 15, 2000). "Chapter 39: Asterius of Amasea,Ekphrasis on the Holy Martyr Euphemia". Katika Valantasis, Richard (mhr.). Religions of Late Antiquity in Practice. Princeton University Press. uk. 464. ISBN 978-0691057507.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ""St. Euphemia the All-Praised", Antiochian Orthodox Christian Archdiocese". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-18. Iliwekwa mnamo 2020-09-15.
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/70350
  4. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.