Eugene Marais

Mwanasheria wa Afrika Kusini, mwanaasili, mshairi na mwandishi

Eugène Nielen Marais (9 Januari 1871 - 29 Machi 1936) alikuwa mwandishi, mshairi na mwanasheria wa Afrika Kusini. Aliandika mashairi na wasifu za kiumbile. Mwaka wa 1936 alijiua.

Eugène N. Marais

Amezaliwa 9 Januari 1871
Pretoria, Afrika Kusini
Amekufa 29 Machi 1936
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi, Wakili
Ndoa Aletta Beyers (1871-1895)
Watoto Eugène Charles Gerard Marais

Maandishi yake

hariri
  • Dwaalstories en Ander Vertellings (1927)
  • The Soul of the White Ant (1934)
  • Gedigte / Poems (mashairi, 1956; tolewa baada ya kifo chake pamoja na tafsiri kwa Kiingereza)
  • The Road to Waterberg (insha, 1972; tolewa baada ya kifo chake na tafsiriwa kwa Kiingereza)

Angalia pia

hariri

Marejeo

hariri
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eugene Marais kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.