Eusebi wa Viktorsberg

Eusebi wa Viktorsberg (Ireland, karne ya 9 - Rankweil, Bavaria Kusini, leo nchini Austria, 31 Januari 884) alikuwa Mkristo aliyehama Ireland kwa ajili ya Yesu akaishi kwa kuhamahama kihija, halafu akawa mmonaki, na hatimaye mkaapweke.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.