Event:Tanzanian/East African Women in Technology
Tanzanian/East African Women in Technology
Muda wa kuanza na kumaliza
Mahali
Tukio la ana kwa ana
Date: Saturday, 24th August Time: 9:00 am to 2:00 pm Venue: Automark Showroom, 9 Sokoine Drive Tanzania
Tukio la mtandaoni
Jiunge na kikundi cha gumzo la tukio
Join us for an inspiring edit-a-thon focused on Tanzanian and East African Women in Technology! This event aims to highlight and celebrate the contributions of women in the tech industry across the region. Participants will collaborate to create, update, and enhance Wikipedia articles related to influential women in technology from Tanzania and East Africa.
Jiunge nasi kwa edit-a-thon ya kuvutia kuhusu Wanawake wa Tanzania na Afrika Mashariki katika Teknolojia! Tukio hili lina lengo la kuangazia na kusherehekea michango ya wanawake katika sekta ya teknolojia katika kanda hii. Washiriki watashirikiana kuunda, kusahisha, na kuboresha makala za Wikipedia zinazohusiana na wanawake wenye ushawishi katika teknolojia kutoka Tanzania na Afrika Mashariki.