Event:The Kareem Jee v3 Editathon
The Kareem Jee v3 Editathon
Muda wa kuanza na kumaliza
Mahali
Tukio la ana kwa ana
Date: Saturday, 30th November Time: 9:00 am to 2:00 pm Venue: Automark Showroom, 9 Sokoine Drive Breakfast, lunch, and snacks provided. Please bring a laptop, tablet, or smartphone. We look forward to seeing you there! Tanzania
Tukio la mtandaoni
Kiungo kitatolewa na waandaaji.
Jiunge na kikundi cha gumzo la tukio
washiriki 2
Join us for an inspiring edit-a-thon focused on Tanzanian and East African the whole African Women in Technology & other aspects! This event aims to highlight and celebrate the contributions of women in the tech industry across Africa. Participants will collaborate to create, update, and enhance Wikipedia articles related to influential women in technology from Tanzania and East Africa. Please bring your tablet, laptop with you during the session.
Jiunge nasi kwa edit-a-thon ya kuvutia kuhusu Wanawake wa Tanzania na Afrika Mashariki katika Teknolojia na mambo mengine! Tukio hili lina lengo la kuangazia na kusherehekea michango ya wanawake katika sekta ya teknolojia katika kanda hii. Washiriki watashirikiana kuunda, kusahisha, na kuboresha makala za Wikipedia zinazohusiana na wanawake wenye ushawishi katika teknolojia kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwingine ndani ya Afrika.