Fábio Medina Osório

Fábio Medina Osório (Porto Alegre, alizaliwa tarehe 31 Julai, mwaka 1967) ni mwanasheria, mwalimu, na alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Brazil. Fábio Medina Osório ni Mwendesha Mashitaka wa zamani wa Jimbo la Rio Grande do Sul, na aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Brazil na Rais wa Muda Michel Temer.[1]

Marejeo hariri

  1. "Recém-empossado na AGU, Fábio Osório defende "agenda anticorrupção"", Correio Braziliense, 2016-05-14. Retrieved on 2016-05-16. (Portuguese) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fábio Medina Osório kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.