Faida Mohammed Bakar

(Elekezwa kutoka Faida Mohamed Bakar)

Faida Mohammed Bakar (amezaliwa tarehe 20 Machi 1963) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge kupitia kwa viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017