Commons ni mahali mtandaoni pa kuhifadhia jalada na hati za picha na sauti zenye leseni huria. Unaweza kuisadia.
Muhtasari
MaelezoDar es Salaam Waterfront Old City numbered.jpg
Kiswahili: Majengo ya kihistoria ufukoni mwa Dar es Salaam : * = yalijengwa zamani za Sultani; ** = yalijengwa zamani za Wajerumani;
1: Boma la Kale *, 2: Kanisa Kuu Katoliki la Mt. Josefu **; 3: Posta ya zamani **; 4: Atiman House (Nyumba ya mapadre Weupe - White Fathers) *; 5: Azania Front kanisa la Kilutheri **; 6: Mahakama ya Rufaa (German Club) **; 7: Kilimanjaro Hotel; 8: Ofisi ya NIDA (Kamando ya Jeshi la Schutztruppe) **; 9: Feri ya Zanzibar (bandari ya Kijerumani) **
English: Historical buildings along the Dar es Salaam waterfront: * = built under the Sultan; ** = built under the Germans;
1: Old Boma *, 2: Catholic cathedral St. Joseph **; 3: Old Post Office **; 4: White Fathers' House (Atiman House) *; 5: Azania Front Lutheran Church **; 6: Court of appeal (German Club) **; 7: Kilimanjaro Hotel; 8: NIDA office (Command of Schutztruppe) **; 9: Zanzibar Ferry (former location of German harbour) **
sifa – Ni lazima utoe mkopo unaofaa, utoe kiungo cha leseni, na uonyeshe ikiwa mabadiliko yalifanywa. Unaweza kufanya hivyo kwa njia yoyote inayofaa, lakini si kwa njia yoyote inayopendekeza mtoa leseni akuidhinishe wewe au matumizi yako.
shiriki sawa – Ukichanganya, kubadilisha, au kujenga juu ya nyenzo, lazima usambaze michango yako chini ya same or compatible license kama ya awali.