Faili:Mnururisho wa jua duniani.png

Mnururisho_wa_jua_duniani.png(piseli 663 × 507, saizi ya faili: 52 KB, aina ya MIME: image/png)

Muhtasari hariri

imeswahilishwa kutokana http://commons.wikimedia.org/wiki/File:Oblique_rays_04_Pengo.svg na Peter Halasz

Picha inaeleza tofauti ya halijoto kati ya maeneo ya ikweta na nchani.

Kiasi kilekile cha mnururisho kutoka kwa Jua kina matokeo tofauti kwa sababu

a) kwenye ikweta kiasi cha nuru kinafikia eneo dogo zaidi kuliko karibu na nchani; pale nchani ni kiasi kilekile kinachotawanyika eneo kubwa zaidi. Hivyo inapeleka kiasi kidogo zaidi ya nishati hadi uso wa ardhi.

b) kwenye ikweta nuru inapita njia fupi hadi kufikia uso wa ardhi kulingana na maeneo ya nchani. Gesi za angahewa inapunguza nguvu ya mnururisho kiasi, kadri jinsi njia ni ndefu zaidi.


Hatimiliki hariri

This template should only be used on image pages.

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi17:40, 16 Juni 2017Picha ndogo ya toleo la 17:40, 16 Juni 2017663 × 507 (52 KB)Kipala (majadiliano | michango)imeswahilishwa kutokana http://commons.wikimedia.org/wiki/File:Oblique_rays_04_Pengo.svg na Peter Halasz Picha inaeleza tofauti ya halijoto kati ya maeneo ya ikweta na nchani. Kiasi kilekile cha mnururisho kutoka kwa Jua kina matokeo tofauti kwa s...

Ukurasa huu umeunganishwa na faili hili: