Faili:Watengwa.jpg
Watengwa.jpg (piseli 496 × 480, saizi ya faili: 53 KB, aina ya MIME: image/jpeg)
Watengwa ni kundi la muziki wa Hip Hop kutoka Arusha, Tanzania. Kundi hili lilianzishwa mwaka 1999 huko mjini Arusha, Tanzania. Kundi hili ni moja kati ya makundi maarufu ya Hip Hop Tanzania na pia inasemekana ni kundi linalobeba wasanii wengi kuliko kundi lolote Afrika. Baadhi ya wasanii wa kundi hili ni JCB, Chindo, Ghost, Donnie, Chabba, Alwatan Kweley,Mapacha,Daz Naledge, Yuzo na wengineo. Kundi hili lilipata mwamko na ushawishi kutoka katika kundi la Wu Tang Clan la Marekani, Methodman, Nas na wana Hip Hop wengine duniani.
Historia ya faili
Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.
Tarehe/Saa | Picha ndogo | Vipimo | Mtumiaji | Maelezo | |
---|---|---|---|---|---|
sasa hivi | 10:22, 28 Novemba 2012 | 496 × 480 (53 KB) | Jeremy~swwiki (majadiliano | michango) | http://4.bp.blogspot.com/-0LvvJ3rcmas/T_FQJAD8EeI/AAAAAAAAcoI/r2w6JiNE7HY/s1600/317971_10151146669448814_2094713654_n.jpg | |
10:13, 28 Novemba 2012 | 496 × 480 (53 KB) | Jeremy~swwiki (majadiliano | michango) | Jina La Kundi: Watengwa/Hard Core Unit Studio: Watengwa Recods Asili: Kijenge Juu, Arusha Tangu: 1999- Washirika: Ukoo Flani Mau Mau, Boom Blast, Nako 2 Nako, River Camp,TGP, Nakaaya. Grounds: Via Via Watayarishaji : Sam, Chindo, Daz Naledge. Mtandao: ... | ||
08:57, 28 Novemba 2012 | 496 × 480 (53 KB) | Jeremy~swwiki (majadiliano | michango) | Jina: Watengwa Asili: Arusha, Tanzania Aina Ya Muziki: Hip Hop, African Hip Hop, Hard Core, Street Genre! Tangu: 1996 Ushirikiano: Nako 2 Nako, River Camp, Nakaaya, M 1,Ukoo Flani. Makazi: Arusha, USA, France, Norway. |
Unaweza kuandika juu ya faili hii.
Matumizi ya faili
Hakuna kurasa zozote zinazotumia faili hii.