Fakundi na Primitivi

Fakundi na Primitivi (walifariki karibu na Sahagún, Hispania, 300 hivi) walikuwa Wakristo waliokatwa kichwa kwa ajili ya imani yao[1].

Sanamu zao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa kila tarehe 27 Novemba[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Saint of the Day, November 27: Facundus and Primitivus. SaintPatrickDC.org (2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-06. Iliwekwa mnamo March 18, 2012.
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.