Falsafa ya elimu ni utafiti wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa elimu, kwa kuchunguza ufafanuzi, malengo na maana ya elimu kwa jumla au ya mtazamo mmojawapo juu yake.

Kitabu cha John Locke "Baadhi ya Mawazo Kuhusu Elimu" kiliandikwa mwaka 1693 na bado elimu ya jadi huonyesha vipaumbele katika Nchi za Magharibi.

Falsafa ya elimu kwa kawaida huonwa kama tawi la falsafa na la elimu vilevile.

Tanbihi Edit

Marejeo Edit

  • Classic and Contemporary Readings in the Philosophy of Education, by Steven M. Cahn, 1997, ISBN 978-0-07-009619-6
  • A Companion to the Philosophy of Education (Blackwell Companions to Philosophy), ed. by Randall Curren, Paperback edition, 2006, ISBN 1-4051-4051-8
  • The Blackwell Guide to the Philosophy of Education, ed. by Nigel Blake, Paul Smeyers, Richard Smith, and Paul Standish, Paperback edition, 2003, ISBN 0-631-22119-0
  • Philosophy of Education (Westview Press, Dimension of Philosophy Series), by Nel Noddings, Paperback edition, 1995, ISBN 0-8133-8430-3
  • The quarterly review of comparative education: Aristotle [1]
  • Andre Kraak,Michael Young Education in Retrospect: Policy And Implementation Since 1990[2]
  • Freire, UNESCO publication

Viungo vya nje Edit

kwa kuchunguza ufafanuzi, malengo na maana ya elimu kwa jumla au ya mtazamo mmojawapo juu yake.