Familia (maana)

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Familia inaweza kumaanisha

  • Familia - kama kundi la baba, mama na watoto wanaoishi pamoja
  • Familia (biolojia) - vikundi vya viumbehai kama wanyama wanaopangwa pamoja katika uainishaji wa kisayansi
  • Kundi mbalimbali za vitu, magimba na kadhalika zinazopangwa pamoja kwa sababu zina tabia za pamoja; wanafalaki wanaweza kujadili "familia za nyota"; wanahisabati hupanga "familia za namba" n.k.


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.