Fantastic Four (2015)
Fantastic Four ni filamu ya superhero ya Amerika ya Kaskazini . Ni filamu ya tatu na ya mwisho ya kuigiza Fantastic Four.
Filamu hii iliongozwa na Josh Trank. Wahusika wakuu ni Miles Teller, Michael B. Jordan, Kate Mara, Jamie Bell na Toby Kebbell.
Katika sehemu hii timu ililazimika kutumia nguvu zao ili kuiokoa dunia kutokana na rafiki yao aliyewageuka na kuwa adui.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fantastic Four (2015) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |