Farailde wa Valencienne

Farailde wa Valencienne (alifariki 745 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ufaransa.

Kisha kulazimishwa aolewe na mwanamume mkatili, alimvumilia akaendelea kuishi kwa uadilifu hadi uzeeni kama mjane.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 4 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.