Farouk Topan
Farouk Mohamedhusein Tharia Topan (Amezaliwa 1940) ni mkurugenzi wa Kituo cha Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Aga Khan. Ni mtaalamu wa lugha na fasihi ya Waswahili. Amefundisha katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Ismaili pia shule ya Oriental na masomo ya kiafrika.
Maisha ya awali na elimu
haririBaada ya kuhitimu elimu yake ya msingi, Topan akiwa na miaka 19 alisafiri kwenda Uingereza kuchukua shahada ya anthropolojia, isimu na fasihi katika shule Oriental na masomo ya kiafrika katika chuo kikuu cha Landani.
Badae alikamilisha Udakitari wake kwa kupokea umiliki wa roho mnamo mwaka 1972 kwa hoja yenye jina "Oral literature in a ritual setting: the role of spirit songs in a spirit-mediumship cult of Mombasa, Kenya.Hoja hii iliangazia hasa ibada ya kipemba huko Changamwe, Kenya, pia desturi za pungwa na aina za fasihi simulizi zinazotolewa na dhehebu hilo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Farouk Topan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |