Fasihi ya Lugha ya Ishara ya Marekani

lugha za ishara ya Marekani

Fasihi ya lugha ya zshara ya Marekani ni mojawapo ya uzoefu muhimu wa kitamaduni wa jamii ya viziwi nchini Marekani. Aina za fasihi zilianza kuendelezwa katika taasisi za viziwi, kama vile shule ya viziwi ya Marekani huko Hartford, Connecticut, [1] ambapo lugha ya ishara ya Marekani ilianza kukua mwanzoni mwa karne ya 19.[2]

Marejeo

hariri
  1. Sacks, Oliver (2000). Seeing Voices: A Journey into the World of the Deaf. New York: Vintage Books.
  2. Sutton-Spence, Rachel (2011). "The Heart of the Hydrogen Jukebox (review)". American Annals of the Deaf. 11.