Fatuma Ndangiza

Mtumishi wa serikali wa Rwanda, mtaalamu wa sera na mwanasiasa

Fatuma Ndangiza (1968) ni mtetezi wa haki za wanawake, mtaalamu wa sera na mwanasiasa. Kufikia januari 2024, anatumikia muhula wake wa pili kama mjumbe wa Rwanda katika bunge la Afrika Mashariki.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatuma Ndangiza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.