Fedele wa Como
Fedele wa Como (alifariki Sorico, karne ya 3) anakumbukwa kama mmisionari wa kwanza wa Como (Italia Kaskazini), alipotumwa na Materno wa Milano baada ya kuingizwa naye katika Ukristo[1].
Katika juhudi za kueneza dini hiyo aliuawa katika dhuluma ya Dola la Roma[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Saints of October 28: Fidelis of Como Archived 31 Desemba 2019 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |