Fela Kuti

Mwanamuziki na mwanaharakati wa Nigeria

Fela Kuti (kifupisho cha jina lake la kuzaliwa Olufela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti; 15 Oktoba 19382 Agosti 1997) alikuwa mwanamuziki wa Nigeria. Alikuwa anapiga muziki wa Afrobeat.

Fela Kuti

Albamu kadhaaEdit

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fela Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.