Felix wa Cantalice
Felix wa Cantalice ndilo jina la kitawa la Felice Porri (Cantalice, Rieti, Italia, 1515 hivi - Roma 18 Mei 1587) aliyekuwa bruda wa urekebisho wa Ndugu Wadogo Wakapuchini, ambaye alipata kuwa mtawa wa kwanza wa shirika hilo kutangazwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu.
Alitangazwa mwenye heri tarehe 1 Oktoba 1625 na mtakatifu tarehe 22 Mei 1712.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- [dead link]. Felix of Cantalice in Catholic Encyclopedia
- Felix of Cantalice in Catholic Forum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |