Fernando Miguel Gil Eisner
Fernando Miquel Gil Eisner (8 Mei 1953 – 17 Januari 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Uruguay.
Gil Eisner alizaliwa nchini Uruguay na alipewa daraja ya upadre mwaka 1983. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Salto, Uruguay, kuanzia mwaka 2018 hadi kifo chake mwaka 2020.[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |