Festo Dugange, anajulikana pia kama Festo John Dugange, ni mwanasiasa wa Tanzania. Anahudumu kama naibu waziri, ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora.Pia ni mbunge wa chama cha mapinduzi katika eneo bunge la Wanging'ombe ambako alichaguliwa mwaka 2020.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Tanzania National Assembly Member of Parliament Profile".
  2. "Dugange's Government Cabinet Profile".
  3. "Festo's President's public office Profile".