Festus Gontebanye Mogae

(Elekezwa kutoka Festus Mogae)

Festus Gontebanye Mogae (amezaliwa 21 Agosti 1939) ni Rais wa nchi ya Botswana tangu 1 Aprili 1998. Alimfuata Quett Masire.

Festus Mogae alipomtembelea George W. Bush mwaka wa 2005
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Festus Gontebanye Mogae kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.