Filamu ya kijamii
Filamu ya kijamii (social film) ni aina ya filamu shirikishi inayowasilishwa kupitia taswila ya mitandao ya kijamii[1]. Filamu ya kijamii inasambazwa kidigitali na kuunganishwa na huduma ya mitandao ya kijamii, kama vile Facebook au Google. Inachanganya vipengele vya video za tovuti, michezo ya mtandao wa kijamii na mitandao ya kijamii.
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2022-09-07.