Fincha Habera, Ethiopia
Fincha Habera ni eneo la kiakiolojia la Zama za Mawe za Kati iliyoko ndani ya Milima ya Bale, kusini mwa Ethiopia. Makao ya mwamba yapo ndani ya ekolojia kubwa zaidi ya milima barani Afrika na inajulikana sana kwa urefu wa juu wa makazi na eneo la akiolojia, lililoko juu mita 4,000 juu ya usawa wa bahari, kati ya Bonde la Harcha na Wasama. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Ossendorf, Götz; Groos, Alexander R.; Bromm, Tobias; Tekelemariam, Minassie Girma; Glaser, Bruno; Lesur, Joséphine; Schmidt, Joachim; Akçar, Naki; Bekele, Tamrat (2019-08-09). "Middle Stone Age foragers resided in high elevations of the glaciated Bale Mountains, Ethiopia". Science (kwa Kiingereza). 365 (6453): 583–587. doi:10.1126/science.aaw8942. ISSN 0036-8075.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fincha Habera, Ethiopia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |