Fiorenso wa Nursia

Fiorenso wa Nursia (alizaliwa mkoani Umbria, Italia, karne ya 5; alifariki huko kabla ya mwaka 540) alikuwa mmonaki aliyeishi upwekeni na Eutisi wa Nursia. Baada ya huyo kukubali kuwa abati wa monasteri karibu na mji huo, kwa ombi lake aliendelea na ukaapweke[1].

Habari zake zimesimuliwa na Papa Gregori I katika kitabu cha Majadiliano, sura ya 15.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu ingawa Martyrologium Romanum anamtaja tu kama mwenzi wa Eutisi kwenye tarehe 23 Mei[2][3]..

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90580
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  3. Οἱ Ὅσιοι Εὐτύχιος καὶ Φλωρέντιος. 23 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.