Flávia Piovesan (alizaliwa mwaka 1968) ni wakili wa Kibrazili na Kamishna wa haki za binadamu. Alichaguliwa na Shirika la Mataifa ya Amerika (OAS) kuwa Kamishna wa Tume ya Kimataifa ya Haki za Binadamu za Amerika (IACHR) kuanzia mwaka 2018 hadi 2021. Mwaka 2021 alikuwa makamu wa pili wa rais wa IACHR akiwa sehemu ya timu ya kwanza kabisa ya Rais na makamu wa rais wanawake pekee.

Flávia Piovesan

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Flávia Piovesan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.