Flensburg
Flensburg ni mji wa Schleswig-Holstein nchini Ujerumani. Mji uko kando la ghuba ya Flensburg karibu na pwani la Baltiki. Idadi ya wakazi wake ni takriban 88,718.
Flensburg | |||
|
|||
Mahali pa mji wa Flensburg katika Ujerumani | |||
Majiranukta: 54°47′N 9°26′E / 54.783°N 9.433°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Schleswig-Holstein | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 88,718 | ||
Tovuti: www.flensburg.de |
Tazama piaEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Flensburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |