Flicker Records
Flicker Records | |
---|---|
Shina la studio | Sony Music Entertainment |
Imeanzishwa | 1999 |
Mwanzilishi | Audio Adrenaline |
Nchi | Marekani |
Mahala | Franklin, Tennessee |
Tovuti | www.flickerrecords.com |
Historia
haririFlicker Records ni studio ya kurekodimuziki ya Kikristo ambayo ina makao yao mjini Franklin, Tennessee. Ilianzishwa na wanachama wa kundi la Kikristo la Audio Adrenaline. Hasa studio hii inalenga wasanii wanaoimba nyimbo za aina ya mwamba, ingawa pia ina sehemu ya, Big House Kids,inayorekodi nyimbo za watoto za Kikristo.[1]
Nyimbo za studio hii zilisambazwa na EMI tangu mwaka wa 1999.[2] Tangu 24 Machi 2006, Flicker imekuwa mwanachama wa Kundi la Provident Label, sehemu ndogo ya Sony Music Entertainment.[3]
Wasanii
hariri- Riley Armstrong (mwimbaji)
- eleventyseven (mwimbaji)
- Fireflight (mwimbaji)
- Flatfoot 56 (mwimbaji,sasa amejiunga na Old Shoe Records)
- Everyday Sunday ((mwimbaji),amejiunga na Inpop Records)
- Kids in the Way (Waliungana tena, wanaimba katika tamasha ndogondogo )
- Monk and Neagle (Wanaimba)
- Mortal Treason (Waliachana)
- Nevertheless (bendi)(Waliachana)
- Phat Chance
- Pillar (bendi) (Wanaimba, walijiunga na Essential Records)
- Royal Ruckus
- Staple (bendi) (Waliungana tena)
- Stereo Motion
- Subseven (Waliachana)
- The Swift (Waliachana)
- T-Bone (mwimbaji)
- Until June (Wanaimba, on SonyBMG/Authentik Artists)
- Wavorly
Angalia Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Flicker Records yaanzisha Studio ya Kikristo. Nashville Business Journal, 22 Septemba 2003.Ilipatikana 9 Septemba 2007.
- ↑ Flicker Records Ilihifadhiwa 6 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.. CMSpin.com.Ilipatikana 9 Septemba 2007.
- ↑ Flicker yaunda mkataba na Nevertheless Ilihifadhiwa 11 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.. Ilipatikana 9 Septemba 2007.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti Rasmi Ilihifadhiwa 26 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.