Florent Sanchez Da Silva

Florent Sanchez Da Silva (alizaliwa 2 Aprili 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya RWD Molenbeek inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji akitokea Olympique Lyonnais kwa mkopo.

Marejeo

hariri
  1. Mathieu Rault (2020-12-02). "OL : Florent Da Silva passe pro". Foot Mercato : Info Transferts Football - Actu Foot Transfert (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florent Sanchez Da Silva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.