Fola Adeola

Mwanachama wa Taasisi ya Wakurugenzi

Tajudeen Afolabi Adeola ni mfanyabiashara na mwekezaji kutoka Nigeria. Adeola ni mwanzilishi mwenza wa benki ya Guaranty Trust (GTBank Plc.), ref>Ewowenye, Dan O. "Fola Adeola biography, Founder GTbank". www.recordsng.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 2018-01-18.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)</ref>mwanachama wa tume ya Afrika, vilevile mwanzilishi na mwenyekiti wa shirika la FATE [1][2]

Tajudeen Afolabi Adeola

Marejeo

hariri
  1. "Commissioners". The Commission for Africa. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Fola Adeola Founder/Chairman of the Board FATE Foundation". The FATE Foundation Lagos. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fola Adeola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.