Fort Portal au Kabarole ni mji wa kitalii uliopo Mkoa wa Magharibi, Uganda. Ndio mji mkuu wa Wilaya ya Kabarole. Ndipo panapopatikana ufalme wa Toro.[1][2]

Majiranukta: 0°39′36″N 30°16′30″E / 0.66000°N 30.27500°E / 0.66000; 30.27500
Nchi Uganda
Mkoa Magharibi
Wilaya Kabarole
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 54,275 (2,014)
Mji wa Fort Portal

Mahali

hariri

Mji wa Fort Portal upo umbali wa takribani kilomita 296 magharibi mwa Kampala. Kampala mji mkuu wa Uganda na pia jiji kubwa zaidi la nchi hiyo.Majiranukta ya Fort Portal ni 0°39'16.0" kas, 30°16'28.0"Mas (Latitudo:0.654444; Longitudo:30.274444).Mji wa Fort Portal upo katika mwinuko wa mita 1523 kutoka kwenye usawa wa bahari.[3]

Idadi ya watu

hariri

Kwa mujibu wa sensa ya kitaifa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Fort Portal ilikuwa 41,000. Mwaka 2010, shirika la takwimu la Uganda lilikadiria kuwa wakazi wa mji huo ni takribani 46,300. Mwaka 2011, shirika hilo lilikadiria idadi ya wakazi kufika 47,100.[4] Mwezi Agosti, mwaka 2014, Sensa ya kitaifa ya makazi ilidhihirisha idadi ya wakazi kufikia 54,275.[5]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Ampurire, Paul (22 Mei 2019). "Cabinet Approves Phased Creation Of Nine New Cities Beginning 2020". Kampala: SoftPower Uganda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-18. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Uganda Radio Network (21 Mei 2019). "Cabinet approves creation of nine cities". Daily Monitor Quoting Uganda Radio Network. Kampala. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Floodmap.net (3 Januari 2019). "Elevation of Fort Portal, Uganda". Floodmap.net. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Estimated Population of Fort Portal In 2002, 2010 & 2011" (PDF). Uganda Bureau of Statistics. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 7 Julai 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. UBOS (27 Agosti 2014). "The Population of The Regions of the Republic of Uganda And All Cities And Towns of More Than 15,000 Inhabitants". Citypopulation.de Quoting Uganda Bureau of Statistics (UBOS). Iliwekwa mnamo 22 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)