Fort Worth, Texas

(Elekezwa kutoka Fort Worth)


Fort Worth ni mji wa tano kwa ukubwa katika Texas na ni mji wa 18 kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Marekani. Mjii huu umepata kuwa mkubwa kuliko hadi kutuhubutu hata kuuingilia mji mwingine mkubwa wa Dallas, Texas. Kwa kigezo hicho, mara nyingi maeneo hayo hufupishwa na kuitwa kama Dallas/Ft. Worth, au DFW.

Jiji la Fort Worth
Jiji la Fort Worth is located in Marekani
Jiji la Fort Worth
Jiji la Fort Worth

Mahali pa mji wa Fort Worth katika Marekani

Majiranukta: 32°44′20″N 97°20′2″W / 32.73889°N 97.33389°W / 32.73889; -97.33389
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Tarrant
Denton
Parker
Wise
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 720,250
Tovuti:  www.fortworthgov.org
Mji wa Fort Worth, Texas

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fort Worth, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.