Fort Worth, Texas

Fort Worth ni mji wa tano kwa ukubwa katika Texas na ni mji wa 18 kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Marekani. Mjii huu umepata kuwa mkubwa kuliko hadi kutuhubutu hata kuuingilia mji mwingine mkubwa wa Dallas, Texas. Kwa kigezo hicho, mara nyingi maeneo hayo hufupishwa na kuitwa kama Dallas/Ft. Worth, au DFW.

Mji wa Fort Worth, Texas
Jiji la Fort Worth

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa Fort Worth katika Marekani

Majiranukta: 32°44′20″N 97°20′2″W / 32.73889°N 97.33389°W / 32.73889; -97.33389
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Tarrant
Denton
Parker
Wise
Idadi ya wakazi
 - 720,250
Tovuti: www.fortworthgov.org

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fort Worth, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.