Fortaleza ni jina la mji mkuu wa jimbo la Ceará katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 3.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 21 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Fortaleza


Fortaleza
Majiranukta: 3°46′25″S 38°34′29″W / 3.77361°S 38.57472°W / -3.77361; -38.57472
Nchi Brazil
Kanda Northeast
Jimbo Ceará
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,505,552
Tovuti:  www.fortaleza.ce.gov.br
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fortaleza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.