France 24 ni kituo cha kurusha programu za televisheni kutoka nchi ya Ufaransa.

Nembo ya taarifa ya habari ya France24.
Mwanahabari François Picard.

Ilianza utangazaji tarehe 6 Desemba 2006.

Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni 80. Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini Issy-les-Moulineaux,[1] karibu na mji mkuu wa Paris.

Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa, ingawa Rais Nicolas Sarkozy alipendekeza kuwa kituo hicho kitangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.[2]

France24 inatangazwa kwa stesheni tatu tofauti: ya Kiingereza, ya Kifaransa na ya Kiarabu kuanzia saa nane mchana hadi saa sita usiku (kulingana na masaa ya Paris).[3][4]

Vipindi vyake

hariri
  • The News
  • In The Papers
  • In The Weeklies
  • Business
  • The Business Interview
  • Beyond Business
  • The France 24 Interview
  • Environment
  • Face-Off
  • The France 24 Debate
  • Weather
  • Health
  • Fashion
  • Culture
  • World Generation
  • Lessons For the Future
  • Reporters
  • Top Story
  • Web News
  • Sport
  • Caring
  • The Week In Africa
  • The Week In Maghreb
  • The Week In Asia
  • The Week In Europe
  • The Week In the Americas
  • The Week In the Middle East
  • The Week In France
  • Markets
  • Opinions
  • Report
  • Lifestyle

Wafanyakazi wakuu

hariri
  • Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
  • Meneja wa habari: Albert Ripamonti
  • Msimamizi jalada: Jean Lesieur
  • Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
  • Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
  • Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
  • Meneja wa fedha: Frédéric Genea
  • Mkuu wa sheria: Anne Kack
  • Utangazaji: Patrice Begay

Upatikanaji na matumaini

hariri

Inapatikana nchini Uropa, Afrika na Mashariki ya Kati kwa njia ya satelaiti. Tovuti yake ni france24.com

France 24 inalenga kushindana na stesheni kama CNN International, BBC World News, Deutsche Welle, na Al Jazeera English.

Marejeo

hariri
  1. "Contact Us." France 24. Retrieved on 29 Oktoba 2009.
  2. La chaîne France 24 dans l'incertitude Archived 17 Januari 2008 at the Wayback Machine., Le Monde
  3. http://www.france24.com/
  4. Inside France 24